Skip to content

Instantly share code, notes, and snippets.

Keybase proof

I hereby claim:

  • I am dragz92 on github.
  • I am dmurage (https://keybase.io/dmurage) on keybase.
  • I have a public key ASCUOpAuDHwHQqqDzl4O1nueqr-0Mcmt8W1yMcBAD47Nmwo

To claim this, I am signing this object:

@waigwamacha
waigwamacha / index.html
Last active May 14, 2019 10:26
Old Typewriter Text Effect
<p class="typewriter">Namkumbuka (ila sina wajibu kutumia hili jina hofu; mtu mmoja tu
duniani anafaa kulitumia hili jina, na ashafariki), namkumbuka akiwa na ua mkononi mwake,
akiliangalia kama ya kwamba hakuna binadamu mwingine ashaangalia ua duniani, ingawa waweze
liangalia ua kutoka asubuhi hadi jioni, kwa maisha ya yote. Namkumbuka, uso wake mtulivu na wa
kihindi, na ninaouona kwa umbali, nyuma ya sigara lake. Nakumbuka (natumaini) vidole maridadi na
zenye nguvu za fundi anayetenegenza kwa ngozi. nakumbuka, karibu na hizo vidole, chombo cha kutengeneza chai ya maté,
lililo na mikono ya Banda za mashariki. </p>
<p class="typewriter">- Funes, Ukumbusho -</p>